Yoshua 16:2
Ukaendelea kutoka Betheli (ndiyo Luzu), ukavuka kuingia eneo la Waariki huko Atarothi,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And goeth out from Bethel to Luz, and passeth along unto the borders of Archi to Ataroth,
In Context
Cross References
Joshua 18:13Kutoka hapo ulikatiza kwenye mteremko wa kusini mwa Luzu (yaani Betheli) na kushuka hadi Ataroth-Adari katika kilima kusini mwa Beth-Horoni ya Chini. 1
Judges 1:23Walipotuma watu kwenda kupeleleza Betheli (ambao hapo kwanza uliitwa Luzu),
2 Samuel 15:37Kwa hiyo Hushai, rafiki wa Daudi, akafika Yerusalemu wakati Absalomu alipokuwa anaingia mjini.
1 Chronicles 27:33Ahithofeli alikuwa mshauri wa mfalme. Hushai Mwariki alikuwa rafiki wa mfalme.