Yoshua 19:22
Mpaka ule ukagusa Tabori, Shahasuma na Beth-Shemeshi, na ukaishia kwenye Yordani. Ilikuwa miji kumi na sita, pamoja na vijiji vyake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
21Remethi, En-Ganimu, En-Hada na Beth-Pasesi.
Cross References
Joshua 19:38Ironi, Migdal-Eli, Horemu, Beth-Anathi na Beth-Shemeshi. Kulikuwa na miji kumi na tisa na vijiji vyake.
Judges 4:6Akatuma wamwite Baraka mwana wa Abinoamu kutoka Kedeshi huko Naftali na kumwambia, “ Bwana, Mungu wa Israeli, anakuagiza: ‘Nenda, chukua wanaume 10,000 toka Naftali na Zabuloni, mwende Mlima Tabori.
1 Samuel 6:9lakini liangalieni kwa makini. Iwapo litakwenda katika nchi yake lenyewe, kuelekea Beth-Shemeshi, basi tutajua kwamba Bwana ndiye alileta haya maafa makubwa juu yetu. Lakini kama halikwenda, basi tutajua kwamba haukuwa mkono wa Bwana uliotupiga na kwamba iliyotokea kwetu ni ajali.”
2 Kings 14:11Hata hivyo, Amazia hakusikia, hivyo Yehoashi mfalme wa Israeli akashambulia. Yeye na Amazia mfalme wa Yuda wakakutana uso kwa uso huko Beth-Shemeshi katika Yuda.
1 Chronicles 6:77Wamerari (Walawi waliobakia) walipokea miji ifuatayo: 2 kutoka kabila la Zabuloni 2 walipokea Yokneamu, Karta, Rimoni na Tabori pamoja na maeneo yake ya malisho. 1
Jeremiah 46:18“Kwa hakika kama niishivyo,” asema Mfalme, 2 ambaye jina lake ni Bwana Mwenye Nguvu Zote, 1 “mmoja atakuja ambaye ni kama Tabori miongoni mwa milima, 2 kama Karmeli kando ya bahari. 1