Yoshua 19:39
Miji hiyo pamoja na vijiji vyake ndio iliyokuwa urithi wa kabila la Naftali, ukoo kwa ukoo. 1 Mgawo Kwa Dani
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
40Kura ya saba ikaangukia kabila la Dani, ukoo kwa ukoo.
Cross References
Ezekiel 48:3“Naftali atakuwa na sehemu moja, itapakana na nchi ya Asheri kuanzia mashariki hadi magharibi.