Yoshua 19:46
Me-Yarkoni na Rakoni, pamoja na eneo linalotazamana na Yafa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Me-jarkon, and Rakkon, with the border before Japho.
In Context
45Yehudi, Bene-Beraki, Gath-Rimoni,
Cross References
2 Chronicles 2:15“Sasa basi bwana wangu na awapelekee watumishi wake ngano, shayiri, mafuta ya zeituni na mvinyo kama alivyoahidi,
Jonah 1:3Lakini Yona alimkimbia Bwana na kuelekea Tarshishi. Alishuka mpaka Yafa, ambapo alikuta meli iliyokuwa imepangwa kuelekea bandari ile. Baada ya kulipa nauli, akapanda melini na kuelekea Tarshishi ili kumkimbia Bwana.
Acts 9:43Petro akakaa Yafa kwa siku nyingi akiishi na Simoni mtengenezaji ngozi.