Joshua 21:27
Koo za Walawi za Wagershoni walipewa: 4 kutoka nusu ya kabila la Manase, 4 Golani katika Bashani (mji mkuu wa makimbilio kwa yeyote aliyeshtakiwa kwa mauaji) na Beeshtera, pamoja na sehemu zake za malisho, ilikuwa miji miwili; 4
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
26Miji yote hii kumi pamoja na sehemu zake za malisho ilipewa koo za Wakohathi zilizobaki.
28kutoka kabila la Isakari walipewa, 4 Kishioni, Daberathi,
Cross References
Deuteronomy 1:4Hii ilikuwa baada ya kumshinda Sihoni mfalme wa Waamori, ambaye alitawala Heshboni, na pia huko Edrei alikuwa amemshinda Ogu mfalme wa Bashani, ambaye alitawala huko Ashtarothi.
Joshua 20:8Katika upande wa mashariki mwa Yordani ya Yeriko wakatenga Bezeri katika jangwa katika uwanda wa juu katika kabila la Reubeni, Ramothi katika Gileadi katika kabila la Gadi, na Golani huko Bashani katika kabila la Manase.
1 Chronicles 6:47mwana wa Mahli, 2 mwana wa Mushi, mwana wa Merari, 2 mwana wa Lawi.