bible.software › Joshua › Joshua 21 › Joshua 21:42
Joshua 21:42
Kila mmoja wa miji hii ulikuwa na sehemu ya malisho kuuzunguka; ndivyo ilivyokuwa kwa miji hii yote.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
These cities were every one with their suburbs round about them: thus were all these cities.
In Context
41Miji yote ya Walawi katika eneo lililoshikwa na Waisraeli lilikuwa arobaini na minane, pamoja na sehemu zake za malisho.
43Kwa hiyo Bwana akawapa Israeli nchi yote aliyokuwa ameapa kuwapa baba zao, nao wakaimiliki na kukaa humo.
Read all of Joshua 21
This Verse In Other Editions
Study Joshua 21:42