Yoshua 22:23
Kama tumejijengea madhabahu yetu wenyewe ili kumwacha Bwana na kutoa sadaka za kuteketezwa na sadaka za nafaka, au kutoa sadaka za amani juu yake, Bwana mwenyewe na atupatilize leo.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 12:11Kisha kuhusu mahali Bwana Mungu wenu atakapopachagua kuwa mahali pa makao ya Jina lake, hapo ndipo inapowapasa kuleta kila kitu ninachowaamuru: sadaka zenu za kuteketezwa na dhabihu, zaka zenu na changizo, pamoja na vitu vyote vyenye thamani ambavyo mmeweka nadhiri kumtolea Bwana.
1 Samuel 20:16Basi Yonathani akafanya agano na nyumba ya Daudi, akisema: “ Bwana na awaangamize adui za Daudi.”
Psalms 10:13Kwa nini mtu mwovu anamtukana Mungu? 2 Kwa nini anajiambia mwenyewe, 2 “Hataniita nitoe hesabu?” 1
Ezekiel 33:6Lakini kama mlinzi akiona upanga unakuja na asipige tarumbeta kuonya watu na upanga ukija na kutoa uhai wa mmoja wao, yule mtu ataondolewa kwa sababu ya dhambi yake, lakini damu yake nitaitaka mkononi mwa mlinzi huyo.’