Yoshua 24:33
Naye Eleazari mwana wa Aroni akafariki akazikwa huko Gibea, mlima aliokuwa amepewa mtoto wake Finehasi, kwenye nchi ya vilima ya Efraimu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 6:25Eleazari mwana wa Aroni akamwoa mmoja wa binti za Putieli, naye akamzalia Finehasi. 1 Hawa walikuwa ndio wakuu wa jamaa za Walawi, ukoo kwa ukoo.
Numbers 20:26Mvue Aroni mavazi yake, na umvike Eleazari mwanawe, kwa maana Aroni atakusanywa pamoja na watu wake; atakufa huko.”
Joshua 14:1Basi haya ndiyo maeneo Waisraeli waliyopokea kama urithi katika nchi ya Kanaani, ambayo kuhani Eleazari, Yoshua mwana wa Nuni na viongozi wa koo za kabila za Israeli waliwagawia.
Judges 18:13Kutoka hapo wakaendelea mbele mpaka nchi ya vilima ya Efraimu na kufika katika nyumba ya Mika.
1 Kings 4:8Majina yao ni haya: 1 Ben-Huri: katika nchi ya vilima ya Efraimu; 1
Job 30:23Ninajua utanileta mpaka kifoni, 2 mahali ambapo wenye uhai wote wamewekewa. 1