Yoshua 4:16
“Waamuru hao makuhani wanaolibeba Sanduku la Ushuhuda, wapande kutoka ndani ya Mto Yordani.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Command the priests that bear the ark of the testimony, that they come up out of Jordan.
In Context
15Basi Bwana akamwambia Yoshua,
17Kwa hiyo Yoshua akawaamuru hao makuhani akisema, “Pandeni kutoka ndani ya Mto Yordani.”
Cross References
Exodus 25:16Kisha weka ndani ya hilo Sanduku ule Ushuhuda nitakaokupa.
Revelation 11:19Ndipo hekalu la Mungu lililoko mbinguni likafunguliwa, na sanduku la agano lake likaonekana humo ndani. Kukatokea mianga ya umeme wa radi, ngurumo, sauti za radi, tetemeko la nchi na mvua kubwa ya mawe.