bible.software › Yoshua › Yoshua 5 › Yoshua 5:3
Yoshua 5:3
Kwa hiyo Yoshua akatengeneza visu vya mawe magumu sana na kutahiri Waisraeli huko Gibeath-Haaralothi. + 5:3 Gibeath-Haaralothi maana yake ni Kilima cha Magovi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Joshua made him sharp knives, and circumcised the children of Israel at the hill of the foreskins.
In Context
2Wakati huo Bwana akamwambia Yoshua, “Tengeneza visu vya mawe magumu sana na uwatahiri Waisraeli tena.”
4Hii ndiyo sababu ya Yoshua kufanya hivyo: Wanaume wote waliotoka Misri, wote wenye umri wa kwenda vitani, walikufa jangwani wakiwa njiani baada ya kuondoka Misri.
Read all of Yoshua 5
Cross References
Matthew 16:24Ndipo Yesu akawaambia wanafunzi wake, “Mtu yeyote akitaka kunifuata, ni lazima ajikane mwenyewe, auchukue msalaba wake, anifuate.
This Verse In Other Editions
Study Yoshua 5:3