bible.software › Yoshua › Yoshua 5 › Yoshua 5:8
Yoshua 5:8
Baada ya taifa lote kutahiriwa, waliendelea kukaa kambini mpaka walipokuwa wamepona.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And it came to pass, when they had done circumcising all the people, that they abode in their places in the camp, till they were whole.
In Context
7Kwa hiyo akawainua wana wao baada yao na hawa ndio hao ambao Yoshua aliwatahiri. Walikuwa hawajatahiriwa bado kwa sababu walikuwa safarini.
9Bwana akamwambia Yoshua, “Leo nimeiondoa aibu ya Wamisri kutoka kwenu.” Basi mahali pale pakaitwa Gilgali hadi leo.
Read all of Yoshua 5
Cross References
Genesis 34:25Baada ya siku tatu, wakati wote wakiwa wangali katika maumivu, wana wawili wa Yakobo, yaani Simeoni na Lawi, ndugu zake Dina, wakachukua panga zao na kuvamia mji ambao haukutazamia vita, wakaua kila mwanaume.
This Verse In Other Editions
Study Yoshua 5:8