bible.software › Yoshua › Yoshua 6 › Yoshua 6:7
Yoshua 6:7
Naye akawaagiza watu, “Songeni mbele! Mkauzunguke mji, na walinzi wenye silaha watangulie mbele ya Sanduku la Bwana.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he said unto the people, Pass on, and compass the city, and let him that is armed pass on before the ark of the LORD.
In Context
6Ndipo Yoshua mwana wa Nuni akaita makuhani na kuwaambia, “Chukueni Sanduku la Agano la Bwana na makuhani saba wachukue baragumu za pembe za kondoo dume mbele yake.”
8Baada ya Yoshua kuzungumza na watu, wale makuhani saba wenye kuzibeba zile baragumu saba mbele za Bwana, wakatangulia mbele, wakipiga baragumu zao na Sanduku la Agano la Bwana likawafuata.
Read all of Yoshua 6
Cross References
Joshua 4:13Kiasi cha watu 40,000 waliojiandaa kwa vita walivuka mbele za Bwana hadi nchi tambarare za Yeriko kwa ajili ya vita.
This Verse In Other Editions
Study Yoshua 6:7