bible.software › Yoshua › Yoshua 7 › Yoshua 7:22
Yoshua 7:22
Kwa hiyo Yoshua akatuma wajumbe, nao wakapiga mbio mpaka hemani, tazama, vile vitu vilikuwa vimefichwa hemani mwake, pamoja na ile fedha chini yake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
So Joshua sent messengers, and they ran unto the tent; and, behold, it was hid in his tent, and the silver under it.
In Context
21Nilipoona katika nyara joho zuri la kutoka Babeli, shekeli mia mbili + 7:21 Shekeli 200 za fedha ni sawa na kilo 2.3. za fedha, na kabari ya dhahabu ya uzito wa shekeli hamsini, + 7:21 Shekeli 50 ni sawa na gramu 600. nikavitamani na nikavichukua. Tazama, vimefichwa ardhini ndani ya hema langu, pamoja na hiyo fedha chini yake.”
23Wakavichukua vile vitu toka mle hemani, wakamletea Yoshua pamoja na Waisraeli wote, na wakavitandaza mbele za Bwana.
Read all of Yoshua 7
Cross References
Deuteronomy 25:19Bwana Mungu wako atakapokupa pumziko mbali na adui zako wote wanaokuzunguka katika nchi akupayo kuimiliki kuwa urithi, utafutilia mbali kumbukumbu lote la Waamaleki chini ya mbingu. Usisahau!
This Verse In Other Editions
Study Yoshua 7:22