bible.software › Yoshua › Yoshua 8 › Yoshua 8:23
Yoshua 8:23
Lakini wakamchukua mfalme wa Ai akiwa hai na kumleta kwa Yoshua.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the king of Ai they took alive, and brought him to Joshua.
In Context
22Wale waviziaji nao pia wakatoka nje ya mji dhidi yao, hivi kwamba wakashikiwa katikati, Waisraeli wakiwa pande zote mbili. Israeli wakawaua, bila kuwaachia yeyote aliyenusurika wala aliyetoroka.
24Israeli ilipomaliza kuwaua wanaume wote wa Ai katika mashamba na jangwani walipokuwa wamewafukuzia, na baada ya kila mmoja wao kuuawa kwa upanga, Waisraeli wote wakarudi Ai na kuwaua wale waliokuwa wamebakia mjini.
Read all of Yoshua 8
Cross References
Joshua 10:17Yoshua alipoambiwa kuwa wafalme hao watano wamekutwa wakiwa wamejificha ndani ya pango huko Makeda,
1 Samuel 15:8Akamchukua Agagi, mfalme wa Waamaleki akiwa hai, nao watu wake wote akawaangamiza kabisa kwa upanga.
This Verse In Other Editions
Study Yoshua 8:23