The Bible Software
bible.softwareYudaYuda 1 › Yuda 1:15

Yuda 1:15

ili kumhukumu kila mmoja na kuwapatiliza wote wasiomcha Mungu kwa matendo yao yote ya uasi waliyoyatenda, pamoja na maneno yote ya kuchukiza ambayo wenye dhambi wamesema dhidi yake.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

To execute judgment upon all, and to convince all that are ungodly among them of all their ungodly deeds which they have ungodly committed, and of all their hard speeches which ungodly sinners have spoken against him.

In Context

14Enoki, mtu wa saba kuanzia Adamu alitoa unabii kuhusu watu hawa, akisema: “Tazama, Bwana anakuja pamoja na maelfu kwa maelfu ya watakatifu wake,

16Watu hawa ni wenye kunungʼunika na wenye kutafuta makosa; wao hufuata tamaa zao mbaya, hujisifu kwa maneno makuu kuhusu wao wenyewe na kuwasifu mno watu wenye vyeo kwa ajili ya kujipatia faida. 1 Maonyo Na Mausia

Read all of Yuda 1

Cross References

1 Samuel 2:3“Msiendelee kusema kwa kiburi hivyo 2 wala msiache vinywa vyenu kunena kwa kiburi, 1 kwa kuwa Bwana ndiye Mungu ajuaye, 2 na kwa yeye matendo hupimwa. 1

Psalms 31:18Midomo yao isemayo uongo na inyamazishwe, 2 kwa maana kwa kiburi na dharau 1 wao husema kwa majivuno 2 dhidi ya wenye haki. 1

Psalms 50:1Mwenye Nguvu, Mungu, Bwana, 2 asema na kuiita dunia, 1 tangu mawio ya jua 2 hadi mahali pake liendapo kutua. 1

Psalms 94:4Wanamimina maneno ya kiburi, 2 watenda mabaya wote wamejaa majivuno. 1

Psalms 149:9ili kuwafanyia hukumu iliyoandikwa dhidi yao. 2 Huu ndio utukufu wa watakatifu wake wote. 2 Msifuni Bwana.

Ecclesiastes 12:14Kwa maana Mungu ataleta hukumuni kila kazi, 2 pamoja na kila neno la siri, 2 likiwa jema au baya.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Yuda 1:15

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yuda 1:14Yuda 1Yuda 1:16 →