The Bible Software
bible.softwareJudeJude 1 › Jude 1:19

Jude 1:19

Hawa ndio watu wanaowagawa ninyi, wafuatao tamaa zao za asili, wala hawana Roho.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

These be they who separate themselves, sensual, having not the Spirit.

In Context

18Kwa kuwa waliwaambia, “Siku za mwisho kutakuwa na watu wenye kudhihaki, watakaofuata tamaa zao wenyewe za upotovu.”

20Lakini ninyi wapendwa, jijengeni katika imani yenu iliyo takatifu sana tena ombeni katika Roho Mtakatifu.

Read all of Jude 1

Cross References

Proverbs 18:1Mtu ajitengaye na wengine 2 hufuata matakwa yake mwenyewe; 2 hupiga vita kila shauri jema. 1

Ezekiel 14:7“ ‘Mwisraeli yeyote au mgeni yeyote anayeishi katika Israeli anapojitenga nami na kujiwekea sanamu katika moyo wake na kwa hivyo kuweka kitu kiovu cha kukwaza mbele ya macho yake na kisha akamwendea nabii kuuliza shauri kwangu, mimi Bwana nitamjibu mwenyewe.

Hosea 9:10“Nilipompata Israeli, ilikuwa kama 2 kupata zabibu jangwani; 1 nilipowaona baba zenu, ilikuwa kama kuona 2 matunda ya kwanza katika mtini. 1 Lakini walipofika Baal-Peori, walijiweka wakfu 2 kwa ile sanamu ya aibu, 1 nao wakawa najisi 2 kama kitu kile walichokipenda. 1

Romans 8:9Lakini ninyi, hamtawaliwi na mwili, bali na Roho, ikiwa Roho wa Mungu anakaa ndani yenu. Mtu yeyote ambaye hana Roho wa Kristo, yeye si wa Kristo.

1 Corinthians 6:19Je, hamjui ya kwamba miili yenu ni hekalu la Roho Mtakatifu akaaye ndani yenu, ambaye mmepewa na Mungu? Ninyi si mali yenu wenyewe,

James 3:15Hekima ya namna hiyo haishuki kutoka mbinguni, bali ni ya kidunia, isiyo ya kiroho, na ya kishetani.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Jude 1:19

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Jude 1:18Jude 1Jude 1:20 →