Jude 1:23
wengine waokoeni kwa kuwanyakua kutoka kwenye moto; nao wengine wahurumieni mkiwa na hofu, mkichukia hata vazi lenye mawaa na kutiwa unajisi na mwili. 1 Dua Ya Kutakia Heri
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
22Wahurumieni walio na mashaka;
Cross References
Leviticus 13:47“Kama vazi lolote lina maambukizo ya upele: likiwa ni vazi la sufu au kitani,
Leviticus 14:47Yeyote atakayelala au kula ndani ya nyumba hiyo ni lazima afue nguo zake.
Proverbs 7:8Alikuwa akishuka njiani karibu na pembe ya kwake, 2 akielekea kwenye nyumba ya huyo mwanamke 1
Lamentations 4:14Sasa wanapapasa papasa barabarani 2 kama watu ambao ni vipofu. 1 Wamenajisiwa kabisa kwa damu, 2 hata hakuna anayethubutu kugusa mavazi yao. 1
Zechariah 3:2Bwana akamwambia Shetani, “ Bwana akukemee Shetani! Bwana, ambaye ameichagua Yerusalemu, akukemee! Je, mtu huyu siyo kijinga kinachowaka kilichonyakuliwa kwenye moto?”
1 Corinthians 3:15Kama kazi kitateketea, atapata hasara, ila yeye mwenyewe ataokolewa, lakini tu kama mtu aliyenusurika kwenye moto.