Waamuzi 1:11
Kutoka huko wakasonga mbele kukabiliana na watu walioishi Debiri (ambao hapo kwanza uliitwa Kiriath-Seferi.)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
12Kalebu akasema, “Nitamwoza binti yangu Aksa kwa mtu atakayeweza kupigana na kuteka Kiriath-Seferi.”
Cross References
Joshua 10:38Ndipo Yoshua na Israeli wote wakageuka na kuushambulia Debiri.