bible.software › Waamuzi › Waamuzi 1 › Waamuzi 1:25
Waamuzi 1:25
Hivyo akawaonyesha, nao wakaupiga mji kwa upanga lakini wakamhifadhi hai yule mtu na jamaa yake yote.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And when he shewed them the entrance into the city, they smote the city with the edge of the sword; but they let go the man and all his family.
In Context
24wale wapelelezi wakaona mtu anatoka mjini, nao wakamwambia, “Tuonyeshe jinsi ya kuingia mjini nasi tutakutendea wema.”
26Yule mtu akaenda hadi nchi ya Wahiti, ambapo aliujenga mji na kuuita Luzu, ambao ndio jina lake hadi leo.
Read all of Waamuzi 1
Cross References
Joshua 6:23Basi wale vijana waliofanya upelelezi wakaenda kumleta Rahabu, baba yake na mama yake, na ndugu zake na watu wote waliokuwa pamoja naye. Wakaleta jamaa yake yote na kuwaweka mahali nje ya kambi ya Israeli.
This Verse In Other Editions
Study Waamuzi 1:25