bible.software › Waamuzi › Waamuzi 10 › Waamuzi 10:5
Waamuzi 10:5
Yairi akafa, naye akazikwa huko Kamoni. 1 Yefta
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Jair died, and was buried in Camon.
In Context
4Alikuwa na wana thelathini waliopanda punda thelathini. Nao walikuwa na miji thelathini iliyoko Gileadi, inayoitwa Hawoth-Yairi mpaka leo.
6Wana wa Israeli wakatenda tena maovu machoni pa Bwana. Wakaabudu Mabaali na Maashtorethi, miungu ya Aramu, miungu ya Sidoni, miungu ya Moabu, miungu ya Waamoni na miungu ya Wafilisti. Kwa kuwa Waisraeli walimwacha Bwana wala hawakuendelea kumtumikia,
Read all of Waamuzi 10
This Verse In Other Editions
Study Waamuzi 10:5