Waamuzi 11:1
Basi Yefta Mgileadi alikuwa mtu shujaa. Baba yake alikuwa Gileadi, naye mama yake alikuwa kahaba.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Judges 6:12Malaika wa Bwana alipomtokea Gideoni, akamwambia, “ Bwana yu pamoja nawe, Ewe shujaa mwenye nguvu.”
2 Kings 5:1Wakati huu, Naamani alikuwa jemadari wa jeshi la mfalme wa Aramu. Alikuwa mtu mkuu mbele ya bwana wake na aliyeheshimiwa sana, kwa sababu kupitia kwake, Bwana alikuwa amewapa Aramu ushindi. Alikuwa askari shujaa, lakini alikuwa na ukoma. + 5:1 Ukoma ni neno lililotumika kwa Kiebrania kueleza magonjwa mbalimbali ya ngozi ambayo si lazima yawe ni ukoma halisi.