bible.software › Waamuzi › Waamuzi 11 › Waamuzi 11:28
Waamuzi 11:28
Hata hivyo, Mfalme wa Waamoni, hakuyajali maneno ya ujumbe wa Yefta.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Howbeit the king of the children of Ammon hearkened not unto the words of Jephthah which he sent him.
In Context
27Mimi sijakukosea jambo lolote, bali wewe ndiye unayenikosea kwa kufanya vita nami. Basi Bwana, aliye Mwamuzi, leo na aamue ugomvi kati ya Waisraeli na Waamoni.”
29Ndipo Roho wa Bwana akaja juu ya Yefta. Akapita katikati ya Gileadi na Manase, pia akapita katika Mispa ya Gileadi, na kutokea huko akasonga mbele kushambulia Waamoni.
Read all of Waamuzi 11
Cross References
2 Kings 14:11Hata hivyo, Amazia hakusikia, hivyo Yehoashi mfalme wa Israeli akashambulia. Yeye na Amazia mfalme wa Yuda wakakutana uso kwa uso huko Beth-Shemeshi katika Yuda.
This Verse In Other Editions
Study Waamuzi 11:28