Waamuzi 11:7
Yefta akawaambia, “Je, hamkunichukia mimi na kunifukuza katika nyumba ya baba yangu? Kwa nini mnanijia sasa, wakati mna matatizo.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
6Wakamwambia Yefta, “Uwe jemadari wetu, ili tuweze kupigana na Waamoni.”
Cross References
Genesis 26:27Isaki akawauliza, “Mbona mmekuja kwangu na ninyi mlinichukia na kunifukuza?”
Genesis 45:4Ndipo Yosefu akawaambia ndugu zake, “Sogeeni karibu nami.” Waliposogea, akasema, “Mimi ni ndugu yenu Yosefu, yule ambaye mlimuuza Misri!
Isaiah 60:14Wana wa wale waliokuonea watakuja wakisujudu mbele yako, 2 wote wanaokudharau watasujudu kwenye miguu yako, 1 nao watakuita Mji wa Bwana, 2 Sayuni ya Aliye Mtakatifu wa Israeli. 1
Revelation 3:9Nitawafanya wale wa sinagogi la Shetani, wale ambao husema kuwa ni Wayahudi lakini sio, bali ni waongo, nitawafanya waje wapige magoti miguuni pako, na wakiri ya kwamba nimekupenda.