bible.software › Waamuzi › Waamuzi 11 › Waamuzi 11:9
Waamuzi 11:9
Yefta akawaambia, “Ikiwa mtanirudisha kwetu kupigana na Waamoni, naye Bwana akanisaidia kuwashinda, Je, ni kweli nitakuwa kiongozi wenu?”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Jephthah said unto the elders of Gilead, If ye bring me home again to fight against the children of Ammon, and the LORD deliver them before me, shall I be your head?
In Context
8Viongozi wa Gileadi wakamwambia Yefta, “Lakini sasa tumegeuka kukuelekea wewe, ili uende pamoja nasi kupigana na Waamoni, nawe utakuwa kiongozi wetu juu ya watu wote wa Gileadi.”
10Viongozi wa Gileadi wakamjibu Yefta, “ Bwana ndiye shahidi yetu. Kwa hakika tutafanya kama usemavyo.”
Read all of Waamuzi 11
Cross References
Numbers 32:20Kisha Mose akawaambia, “Kama mtafanya jambo hili, kama mtajivika silaha mbele za Bwana kwa ajili ya vita,
This Verse In Other Editions
Study Waamuzi 11:9