bible.software › Waamuzi › Waamuzi 12 › Waamuzi 12:7
Waamuzi 12:7
Yefta akawa mwamuzi wa Waisraeli kwa muda wa miaka sita. Basi Yefta akafa, akazikwa katika mmojawapo wa miji ya Gileadi. 1 Ibzani, Eloni Na Abdoni
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Jephthah judged Israel six years. Then died Jephthah the Gileadite, and was buried in one of the cities of Gilead.
In Context
6walimwambia, “Sawa, sema ‘Shibolethi.’ ” Iwapo alitamka, “Sibolethi,” kwa sababu hakuweza kutamka hilo neno sawasawa, walimkamata na kumuua hapo kwenye vivuko vya Yordani. Waefraimu 42,000 waliuawa wakati huo.
8Baada yake, Ibzani wa Bethlehemu akawa mwamuzi wa Israeli.
Read all of Waamuzi 12
This Verse In Other Editions
Study Waamuzi 12:7