bible.software › Judges › Judges 14 › Judges 14:13
Judges 14:13
Lakini msipoweza kufumbua, ndipo ninyi mtanipa mavazi thelathini ya kitani na mavazi mengine mivao thelathini.” Wakamwambia, “Tuambie hicho kitendawili, hebu na tukisikie.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But if ye cannot declare it me, then shall ye give me thirty sheets and thirty change of garments. And they said unto him, Put forth thy riddle, that we may hear it.
In Context
12Samsoni akawaambia, “Niwape kitendawili, mkiweza kunipa jibu katika muda wa siku hizi saba za karamu, nitawapa mavazi thelathini ya kitani na mavazi mengine mivao thelathini.
14Akawaambia, 1 “Ndani ya mlaji, 2 kulitoka kitu cha kuliwa, 1 ndani ya mwenye nguvu, 2 kulitoka kitu kitamu.” Kwa muda wa siku tatu hawakuweza kutoa jibu.
Read all of Judges 14
This Verse In Other Editions
Study Judges 14:13