The Bible Software
bible.software › Waamuzi › Waamuzi 14 › Waamuzi 14:18

Waamuzi 14:18

Siku ya saba kabla ya jua kutua, watu wa mji wakamwambia Samsoni, 1 “Ni nini kitamu kama asali? 2 Ni nini chenye nguvu kama simba?” Samsoni akawaambia, 1 “Kama hamkulima na mtamba wangu, 2 hamngeweza kufumbua 2 kitendawili changu.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And the men of the city said unto him on the seventh day before the sun went down, What is sweeter than honey? and what is stronger than a lion? And he said unto them, If ye had not plowed with my heifer, ye had not found out my riddle.

In Context

17Mkewe akalia kwa muda wa zile siku zote saba za karamu. Hivyo siku ile ya saba Samsoni akamweleza, kwa kuwa aliendelea kumsisitiza sana. Naye akawaeleza watu wake kile kitendawili.

19Ndipo Roho wa Bwana akamjia Samsoni kwa nguvu. Akateremka mpaka Ashkeloni, akawaua watu waume thelathini miongoni mwa watu wa mji, akatwaa mali zao na nguo zao, akawapa watu wale waliofumbua kile kitendawili. Akiwa na hasira, akakwea kurudi nyumbani kwa baba yake.

Read all of Waamuzi 14

Cross References

Psalms 81:16Bali ninyi mngalilishwa ngano iliyo bora, 2 na kuwatosheleza kwa asali itokayo kwenye mwamba.”

Ezekiel 1:10Kuonekana kwa nyuso zao kulikuwa hivi: Kila mmoja wa wale wanne alikuwa na uso wa mwanadamu na kwa upande wa kulia kila mmoja alikuwa na uso wa simba, upande wa kushoto alikuwa na uso wa ngʼombe pia kila mmoja alikuwa na uso wa tai.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Waamuzi 14:18

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Waamuzi 14:17Waamuzi 14Waamuzi 14:19 →