Waamuzi 14:2
Alipopanda kutoka huko, akawaambia baba yake na mama yake, “Nimemwona mwanamke wa Kifilisti huko Timna; basi mnipe ili awe mke wangu.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
1Samsoni akateremkia Timna, akamwona mwanamke wa Kifilisti.
Cross References
Genesis 24:2Akamwambia mtumishi wake mkuu wa vitu vyote katika nyumba yake, yule aliyekuwa msimamizi wa vitu vyote alivyokuwa navyo, “Weka mkono wako chini ya paja langu,
Genesis 38:6Yuda akampatia Eri, mzaliwa wake wa kwanza, mke aitwaye Tamari.
Jeremiah 29:6Oeni wake na mzae wana na binti, waozeni wana wenu wake, nanyi watoeni binti zenu waolewe, ili nao pia wazae wana na binti. Ongezekeni idadi yenu huko, wala msipungue.