Waamuzi 15:4
Hivyo Samsoni akatoka akawakamata mbweha 300 na kuwafunga wawili wawili kwa mikia yao kila mmoja kwa mwingine. Kisha akafungia mwenge wa moto, kwenye mikia ya kila jozi moja ya mbweha aliyokuwa ameifunga,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
3Samsoni akawaambia, “Wakati huu, nitakapowadhuru Wafilisti, sitakuwa na lawama.”
Cross References
2 Samuel 14:30Ndipo akawaambia watumishi wake, “Tazama, shamba la Yoabu liko jirani na langu, naye ana shayiri humo. Nendeni mkalitie moto.” Kisha watumishi wa Absalomu wakalitia moto shamba hilo.
Song of Solomon 2:15Tukamatie mbweha, 2 mbweha wale wadogo 1 wanaoharibu mashamba ya mizabibu, 2 mashamba yetu ya mizabibu yaliyochanua. Mpendwa 1