Waamuzi 16:1
Siku moja Samsoni alienda Gaza, akamwona mwanamke kahaba, naye akaingia kwake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Then went Samson to Gaza, and saw there an harlot, and went in unto her.
In Context
Cross References
Genesis 38:16Pasipo kutambua kwamba alikuwa mkwe wake, akamwendea kando ya njia na kumwambia, “Njoo sasa, nikutane na wewe kimwili.” Yule mkwewe akamuuliza, “Utanipa nini nikikutana nawe kimwili?”
Judges 1:18Watu wa Yuda wakatwaa pia Gaza, Ashkeloni na Ekroni, kila mji na vijiji vyake vinavyouzunguka.
Ezra 9:1Baada ya mambo haya kutendeka, viongozi walinijia na kusema, “Watu wa Israeli, wakiwemo makuhani na Walawi, hawakujitenga na majirani zao katika kufanya machukizo, kama yale ya Wakanaani, Wahiti, Waperizi, Wayebusi, Waamoni, Wamoabu, Wamisri na Waamori.