Waamuzi 18:23
Walipofuatilia wakipiga kelele Wadani wakawageukia na kumwambia Mika, “Una nini wewe hata ukaja na kundi la watu namna hii ili kupigana?”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 21:17Mungu akamsikia kijana akilia, malaika wa Mungu akamwita Hagari kutoka mbinguni na kumwambia, “Kuna nini Hagari? Usiogope, Mungu amesikia kijana analia akiwa amelala pale.
2 Samuel 14:5Mfalme akamuuliza, “Una shida gani?” Akamwambia, “Mimi ni mjane hasa, mume wangu amekufa.
Psalms 114:5Ee bahari, ni nini kilichokufanya ukakimbia, 2 nawe, ee Yordani, ukarudi nyuma, 1