bible.software › Waamuzi › Waamuzi 19 › Waamuzi 19:4
Waamuzi 19:4
Baba mkwe wake, yaani, baba yake yule msichana, akamzuia ili akae, hivyo akakaa na huyo baba mkwe wake kwa siku tatu, wakila, wakinywa na kulala huko.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And his father in law, the damsel’s father, retained him; and he abode with him three days: so they did eat and drink, and lodged there.
In Context
3mume wake akaenda kumsihi ili arudi. Alikwenda na mtumishi wake na punda wawili. Yule mwanamke akamkaribisha nyumbani mwa baba yake, baba yake alipomwona akamkaribisha kwa furaha.
5Siku ya nne wakaamka mapema naye akajiandaa kuondoka, lakini baba wa yule msichana akamwambia mkwewe, “Ujiburudishe kwa kula kitu chochote, ndipo uweze kwenda.”
Read all of Waamuzi 19
This Verse In Other Editions
Study Waamuzi 19:4