bible.software › Judges › Judges 2 › Judges 2:23
Judges 2:23
Bwana alikuwa ameyaacha hayo mataifa yabaki; hakuyaondoa mara moja kwa kuyatia mikononi mwa Yoshua.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Therefore the LORD left those nations, without driving them out hastily; neither delivered he them into the hand of Joshua.
In Context
22Nitayatumia ili nipate kuwapima Israeli na kuona kama wataishika njia ya Bwana na kuenenda katika hiyo kama njia baba zao walivyofanya.”
Read all of Judges 2
This Verse In Other Editions
Study Judges 2:23