Judges 2:9
Wakamzika katika nchi ya urithi wake, huko Timnath-Heresi + 2:9 Unajulikana pia kama Timnath-Sera, ona Yos 19:50; 24:30 . katika nchi ya vilima ya Efraimu, kaskazini ya Mlima Gaashi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
8Yoshua mwana wa Nuni, mtumishi wa Bwana, akafa akiwa na umri wa miaka 110.
Cross References
Joshua 24:29Baada ya mambo haya, Yoshua mwana wa Nuni, mtumishi wa Bwana akafa akiwa na umri wa miaka mia moja na kumi.
Judges 1:1Baada ya kifo cha Yoshua, Waisraeli wakamuuliza Bwana, “Ni nani atakayetangulia kupanda mbele yetu kwa ajili ya kupigana na Wakanaani?”