Waamuzi 20:19
Asubuhi yake Waisraeli wakaamka na kupiga kambi karibu na Gibea.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the children of Israel rose up in the morning, and encamped against Gibeah.
In Context
Cross References
Joshua 3:1Yoshua na Waisraeli wote wakaondoka asubuhi na mapema kutoka Shitimu, wakaenda mpaka Mto Yordani, ambako walipiga kambi kabla ya kuvuka.
Joshua 7:16Kesho yake asubuhi na mapema Yoshua akawaamuru Israeli kuja mbele kabila kwa kabila; na Yuda akatwaliwa.