bible.software › Waamuzi › Waamuzi 20 › Waamuzi 20:29
Waamuzi 20:29
Basi Waisraeli wakaweka waviziao kuizunguka Gibea.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Israel set liers in wait round about Gibeah.
In Context
28na Finehasi mwana wa Eleazari, mwana wa Aroni, alikuwa anahudumu mbele za hilo Sanduku.) Wakauliza, “Je, tupande kwenda vitani kupigana tena na Wabenyamini ndugu zetu, au la?” Bwana akajibu, “Nendeni, kwa kuwa kesho nitawatia mikononi mwenu.”
30Kisha Waisraeli wakapanda kupigana na Wabenyamini katika siku ya tatu na kujiweka kwenye nafasi zao dhidi ya Gibea kama walivyokuwa wamefanya hapo kwanza.
Read all of Waamuzi 20
Cross References
Joshua 8:4akiwaagiza: “Sikilizeni kwa makini. Mtavizia nyuma ya mji. Msiende mbali sana na mji. Wote kuweni macho.
2 Samuel 5:23Kwa hiyo Daudi akamuuliza Bwana, naye akamjibu, “Usipande moja kwa moja, bali wazungukie kwa nyuma na uwashambulie mbele ya miti ya miforosadi.
This Verse In Other Editions
Study Waamuzi 20:29