bible.software › Waamuzi › Waamuzi 20 › Waamuzi 20:44
Waamuzi 20:44
Wakaanguka Wabenyamini 18,000 ambao wote ni mashujaa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And there fell of Benjamin eighteen thousand men; all these were men of valour.
In Context
43Wakawazingira Wabenyamini pande zote, wakawafuatia na kuwapata hapo walipopumzika katika viunga vya Gibea upande wa mashariki.
45Walipogeuka na kukimbia kuelekea nyikani hata kufikia mwamba wa Rimoni, Waisraeli wakawaua watu 5,000 wakiwa njiani. Wakawafuata kwa kasi mpaka Gidomu huko wakawaua watu wengine 2,000.
Read all of Waamuzi 20
Cross References
Judges 20:35Bwana akawashinda Wabenyamini mbele ya Waisraeli na siku ile Waisraeli wakawaua Wabenyamini watu waume 25,100, wote wakiwa wenye kujifunga silaha za vita.
This Verse In Other Editions
Study Waamuzi 20:44