Waamuzi 3:26
Walipokuwa wangali wanangoja, Ehudi akatoroka, akapita hapo kwenye sanamu ya kuchora kwenye mawe na kukimbilia Seira.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Ehud escaped while they tarried, and passed beyond the quarries, and escaped unto Seirath.
In Context
Cross References
2 Kings 9:10Kuhusu Yezebeli, mbwa watamla kwenye kiwanja huko Yezreeli, wala hakuna mtu atakayemzika.’ ” Kisha akafungua mlango na kukimbia.