Waamuzi 3:29
Wakati huo wakawaua Wamoabu watu waume wapatao 10,000 ambao wote walikuwa wenye nguvu na mashujaa; hakuna mtu yeyote aliyetoroka.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
30Siku ile Moabu wakashindwa na Israeli, nayo nchi ikawa na amani kwa miaka themanini. 1 Shamgari
Cross References
Deuteronomy 32:15Yeshuruni + 32:15 Yeshuruni maana yake ni Yeye aliye mnyofu, yaani Israeli (ona pia Kum 33:26; Isa 44:2 ). alinenepa na kupiga teke; 2 alikuwa na chakula tele, 2 akawa mzito na akapendeza sana. 1 Akamwacha Mungu aliyemuumba, 2 na kumkataa Mwamba Mwokozi wake. 1
Job 15:27“Ingawa uso wake umefunikwa na mafuta kwa unene 2 na kiuno chake kimevimba kwa kunenepa, 1