Waamuzi 7:19
Gideoni na wale watu 100 waliokuwa pamoja naye wakafika mwisho wa kambi usiku mwanzoni mwa zamu ya kati, mara tu walipokuwa wamebadili zamu. Wakapiga zile tarumbeta zao na kuvunja ile mitungi iliyokuwa mikononi mwao.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 14:24Karibia mapambazuko, Bwana akaliangalia jeshi la Wamisri kutoka ile nguzo ya moto na ya wingu, akalifadhaisha.
Psalms 2:9Utawatawala kwa fimbo ya chuma 2 na kuwavunjavunja kama chombo cha mfinyanzi.” 1
Jeremiah 19:1Hili ndilo asemalo Bwana: “Nenda ukanunue gudulia la udongo kutoka kwa mfinyanzi. Wachukue baadhi ya wazee wa watu na wa makuhani
1 Thessalonians 5:2kwa kuwa mnajua vyema kwamba siku ya Bwana itakuja kama mwizi ajapo usiku.