The Bible Software
bible.software › Waamuzi › Waamuzi 8 › Waamuzi 8:29

Waamuzi 8:29

Yerub-Baali mwana wa Yoashi akarudi kwenda kuishi katika nyumba yake.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And Jerubbaal the son of Joash went and dwelt in his own house.

In Context

28Hivyo Midiani ikashindwa mbele ya Israeli nayo haikuinua kichwa chake tena. Wakati wa siku za uhai wa Gideoni, nchi ikafurahia amani miaka arobaini. 1 Kifo Cha Gideoni

30Alikuwa na wana sabini wa kwake mwenyewe, kwa kuwa alikuwa na wake wengi.

Read all of Waamuzi 8

Cross References

Judges 6:32Basi siku ile wakamwita Gideoni “Yerub-Baali,” yaani, “Baali na ashindane naye,” kwa sababu alibomoa madhabahu yake.

1 Samuel 12:11Ndipo Bwana akawatuma Yerub-Baali, + 12:11 Yerub-Baali pia aliitwa Gideoni. Baraka, Yefta na Samweli, naye akawaokoa kutoka mikononi mwa adui zenu kila upande, ili ninyi mpate kukaa salama.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Waamuzi 8:29

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Waamuzi 8:28Waamuzi 8Waamuzi 8:30 →