Waamuzi 8:34
wala hawakumkumbuka Bwana Mungu wao, aliyewaokoa kutoka mikononi mwa adui zao wote kutoka kila upande.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Judges 3:7Waisraeli wakafanya maovu machoni pa Bwana, wakamsahau Bwana Mungu wao na kutumikia Mabaali na Maashera.
Psalms 78:42Hawakukumbuka uwezo wake, 2 siku aliyowakomboa kutoka kwa mtesi, 1
Psalms 106:21Walimsahau Mungu aliyewaokoa, 2 aliyekuwa ametenda mambo makuu huko Misri, 1
Jeremiah 2:32Je, mwanamwali husahau vito vyake, 2 au bibi arusi mapambo yake ya arusi? 1 Lakini watu wangu wamenisahau mimi, 2 tena kwa siku zisizo na hesabu. 1