Waamuzi 8:5
Akawaambia watu wa Sukothi, “Tafadhali lipatieni jeshi langu mikate, kwa maana wamechoka, nami ningali ninawafuatia Zeba na Salmuna, wafalme wa Midiani.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 14:18Ndipo Melkizedeki mfalme wa Salemu alipoleta mkate na divai. Alikuwa kuhani wa Mungu Aliye Juu Sana.
Deuteronomy 23:4Kwa kuwa hawakuja kuwalaki wakiwa na mkate na maji mlipokuwa njiani mlipotoka Misri, tena walimwajiri Balaamu mwana wa Beori kutoka Pethori iliyoko Aramu-Naharaimu + 23:4 Yaani Mesopotamia ya Kaskazini-Magharibi. ili kuwalaani ninyi.
1 Samuel 25:18Abigaili akafanya haraka, akachukua mikate mia mbili, viriba viwili vya divai, kondoo watano waliochinjwa vipimo vitano vya bisi, vishada mia moja vya zabibu kavu, mikate mia mbili ya tini, akavipakia juu ya punda.
Psalms 60:6Mungu amenena kutoka patakatifu pake: 2 “Nitaigawa Shekemu kwa ushindi 2 na kulipima Bonde la Sukothi. 1