Judges 9:13
“Lakini mzabibu ukaijibu, ‘Je, niache kutoa divai yangu inayofurahisha miungu na wanadamu ili nikawe juu ya miti?’
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
12“Ndipo miti ikauambia mzabibu, ‘Njoo na uwe mfalme wetu.’
14“Mwishoni miti yote ikauambia mti wa miiba, ‘Njoo na uwe mfalme wetu.’
Cross References
Numbers 15:7na theluthi moja ya hini ya divai kama sadaka ya kinywaji. Vitoe kama harufu nzuri inayompendeza Bwana.
Psalms 104:15divai ya kuufurahisha moyo wa mwanadamu, 2 mafuta kwa ajili ya kungʼarisha uso wake, 2 na mkate wa kutia mwili nguvu. 1
Ecclesiastes 10:19Karamu hufanywa kwa ajili ya kicheko, 2 nao mvinyo hufurahisha maisha, 2 lakini fedha ni jawabu la mambo yote. 1