Waamuzi 9:20
Lakini kama sivyo, moto na utoke kwa Abimeleki na uwateketeze, ninyi watu wa Shekemu na Beth-Milo, nao moto utoke kwenu, watu wa Shekemu na Beth-Milo umteketeze Abimeleki!”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Judges 7:22Walipozipiga zile tarumbeta 300, Bwana akafanya watu katika kambi yote kugeuziana upanga kila mmoja na mwenziwe. Jeshi likakimbia mpaka Beth-Shita kuelekea Serera + 7:22 Au: Seretha. hadi mpakani mwa Abel-Mehola karibu na Tabathi.
Judges 9:23Mungu akaruhusu roho mbaya kati ya Abimeleki na watu wa Shekemu, nao watu wa Shekemu wakamtendea Abimeleki kwa hila.
Judges 9:56Hivyo ndivyo Mungu alivyolipiza uovu ule ambao Abimeleki alikuwa ameutenda kwa baba yake kwa kuwaua ndugu zake sabini.
2 Chronicles 20:22Walipoanza kuimba na kusifu, Bwana akaweka waviziao dhidi ya watu wa Amoni, Moabu na wale wa Mlima Seiri waliokuwa wamekuja kuishambulia Yuda, nao wakashindwa.
Psalms 28:4Walipe sawasawa na matendo yao, 2 sawasawa na matendo yao maovu; 1 walipe sawasawa na kazi za mikono yao, 2 uwalipe wanavyostahili. 1
Psalms 120:3Atakufanyia nini, 2 au akufanyie nini zaidi, ewe ulimi mdanganyifu? 1