bible.software › Waamuzi › Waamuzi 9 › Waamuzi 9:34
Waamuzi 9:34
Kwa hiyo Abimeleki pamoja na jeshi lake lote wakaondoka usiku na kujificha karibu na Shekemu wakiwa vikosi vinne.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Abimelech rose up, and all the people that were with him, by night, and they laid wait against Shechem in four companies.
In Context
33Kisha asubuhi wakati wa kuchomoza jua, amka mapema na ujipange dhidi ya huo mji. Wakati yeye na jeshi lililo pamoja naye watakapotoka kukabiliana nanyi, mwaweza kuwatendea kwa kadiri mnavyoweza.”
35Basi Gaali mwana wa Ebedi alikuwa ametoka nje akawa amesimama katika ingilio la mji wakati ule ule ambao Abimeleki na watu wake walipokuwa wanatoka sehemu zao za maficho.
Read all of Waamuzi 9
This Verse In Other Editions
Study Waamuzi 9:34