Lamentations 3:33
Kwa maana hapendi kuwaletea mateso 2 au huzuni watoto wa wanadamu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For he doth not afflict willingly nor grieve the children of men.
In Context
32Ingawa huleta huzuni, ataonyesha huruma, 2 kwa kuwa upendo wake usiokoma ni mkuu. 1
34Kuwaponda chini ya nyayo 2 wafungwa wote katika nchi, 1
Cross References
Ezekiel 18:32Kwa maana sifurahii kifo cha mtu awaye yote afaye katika uovu, asema Bwana Mwenyezi. Tubuni basi, mkaishi!
Hebrews 12:9Tena, sisi sote tunao baba wa kimwili, waliotuadibisha nasi tukawaheshimu kwa ajili ya hilo. Je, si inatupasa kujinyenyekeza zaidi kwa Baba wa roho zetu ili tuishi?