Maombolezo 5:20
Kwa nini watusahau siku zote? 2 Kwa nini umetuacha kwa muda mrefu? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Wherefore dost thou forget us for ever, and forsake us so long time?
In Context
19Wewe, Ee Bwana unatawala milele, 2 kiti chako cha enzi chadumu kizazi hadi kizazi. 1
Cross References
Psalms 13:1Mpaka lini, Ee Bwana? Je, utanisahau milele? 2 Utanificha uso wako mpaka lini? 1
Psalms 42:10Mifupa yangu inateseka kwa maumivu makali 2 adui zangu wanaponidhihaki, 1 wakiniambia mchana kutwa, 2 “Yuko wapi Mungu wako?” 1
Psalms 74:1Ee Mungu, mbona umetukataa milele? 2 Mbona hasira yako inatoka moshi 2 juu ya kondoo wa malisho yako? 1
Psalms 79:5Hata lini, Ee Bwana? Je, wewe utakasirika milele? 2 Wivu wako utawaka kama moto hadi lini? 1
Psalms 89:46Hata lini, Ee Bwana? Utajificha milele? 2 Ghadhabu yako itawaka kama moto hata lini? 1
Isaiah 49:14Lakini Sayuni alisema, “ Bwana ameniacha, 2 Bwana amenisahau.” 1