Walawi 11:23
Lakini viumbe wengine wote wenye mabawa na wenye miguu minne ni machukizo kwenu. 1 Wanyama Ambao Ni Najisi
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But all other flying creeping things, which have four feet, shall be an abomination unto you.
In Context
22Miongoni mwa hawa, mtakula nzige wa aina zote, senene, parare au panzi.
24“ ‘Mtajinajisi kwa wanyama hawa. Yeyote agusaye mizoga yao atakuwa najisi mpaka jioni.
Cross References
Leviticus 11:27Miongoni mwa wanyama wote watembeao kwa miguu minne, wale watembeao kwa vitanga vyao ni najisi kwenu; yeyote agusaye mizoga yao atakuwa najisi mpaka jioni.