bible.software › Leviticus › Leviticus 13 › Leviticus 13:19
Leviticus 13:19
napo mahali palipokuwa na jipu pakatokea uvimbe mweupe, au alama yenye wekundu na weupe, ni lazima akajionyeshe kwa kuhani.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And in the place of the boil there be a white rising, or a bright spot, white, and somewhat reddish, and it be shewed to the priest;
In Context
18“Wakati mtu ana jipu juu ya ngozi yake nalo likapona,
20Kuhani atapachunguza, na kama uvimbe umezama ndani ya ngozi, na nywele zimegeuka kuwa nyeupe, kuhani atamtangaza mtu huyo kuwa najisi. Ni ugonjwa wa ngozi wa kuambukiza uliojitokeza pale jipu lilipokuwa.
Read all of Leviticus 13
Cross References
Leviticus 14:37Atachunguza upele huo katika kuta za nyumba hiyo, nazo kama zina rangi ya kijani kibichi au wekundu, na kuna mibonyeo ndani ya ukuta,
This Verse In Other Editions
Study Leviticus 13:19